Kilio Changu!

Nyakati za kubadilisha mitazamo yetu kifalsafa, kisiasa na kiuchumi. Kuwapa nafasi wale ambao sauti zao hazisikiki mara kwa mara, na hata kama zikisikika, zinapuuzwa kwa sababu ya unyonge na majaliwa yao.!!!

Wednesday, May 10, 2006

Jukwaa la Manufaa

Nina furaha kubwa kujiunga na wanablogu wenzangu. ninafurahi kwa kuwa nimepata nyenzo ambayo kwayo nitapata fursa ya kutoa maoni yangu na kuibua sauti za watu wengine ambao kwa si rahisi sana kupata fursa kama hii.